English

Hrvatski


زبان_فارسی

Українська

Tiếng Việt
Medjugorie Our Lady of Medjugorie

Medjugorie


WebSite

Last update
25 helmikuu 2023
 

Viimeisin Viesti, 25.helmikuu 2023

"Wanangu wapendwa! Ombeni pamoja nami kwa ajili ya amani maana shetani anataka vita na chuki katika mioyo na mataifa. Kwa hiyo salini na, katika siku zenu, toeni sadaka kwa kufunga na kutubu ili Mungu awape amani. Wakati ujao uko kwenye njia panda kwa sababu mwanadamu wa kisasa hataki Mungu. Kwa hiyo ubinadamu unaelekea kwenye upotevu. Ninyi, wanangu, ni tumaini langu. Ombeni pamoja nami kwamba niliyoyaanza Fatima na hapa yatimie. Ombeni na mshuhudie amani katika mazingira yenu na muwe watu wa amani. Asanteni kwa kuitikia wito wangu. "

Current date and time in Medjugorie : ,

For God to live in your hearts, you must love.

Copyright © Medjugorie WebSite -
medjugorje.ws, medjugorie.ws, medugorje.ws, ourlady.eu and content contributors
Contacts

Caritas of Birmingham and 'A Friend of Medjugorie' Terry Colafrancesco - Sterrett, Alabama EXPOSED / A Friend of Medjugorie and his group Caritas of Birmingham - a cult?